Searching...
Alhamisi, 22 Agosti 2013

WATOTO WA BILIONEA ERASTO MSUYA ALIYEUWAWA KIKATILI WAIBUKA MAHAKAMANI KUSIKILIZA KESI YA BABA YAO

Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na 
Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30).
picha na mdau  Joseph Lyimo

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!